Premium Only Content

UMUHIMU WA KUJUA THAMANI YAKO
Je, ungependa kujifunza jinsi ya kujithamini na kuona thamani yako bila kulinganisha na wengine? Katika somo hili, tunachunguza umuhimu wa kujenga kujiamini na kujithamini bila kuathiriwa na viwango vya watu wengine.
Utajifunza mbinu na mawazo yenye nguvu ya kuimarisha ujasiri wako na kujenga mtazamo chanya wa kibinafsi. Tunashiriki vidokezo vya jinsi ya kuepuka shinikizo la kujilinganisha na watu wengine, kugundua upekee wako, na kutambua thamani yako binafsi.
Pia, tunajadili jinsi ya kukabiliana na hisia za kutokujiamini na kujenga upendo na heshima kwa nafsi yako. Karibu, ugundue umuhimu wa kujithamini na kuona thamani yako bila kuwaathiri wengine, na jinsi ya kuishi maisha ya kujiamini na furaha.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE – SHARE
.
NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
WhatsApp: http://wa.me/255759191076
Bei ya punguzo: 20,000 TZS tu.
.
OUR SPONSOR’S DETAILS:
Al-Rahmah Schools
Location: Mkuranga
Phone: 0673-52-66-44
IG: http://instagram.com/alrahmahschools
.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
https://chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...
.
WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
Voice-over Talent | Content Entrepreneur | Speaker
Instagram: http://instagram.com/ezdenjumanne
Twitter: http://twitter.com/ezdenjumanne
Facebook: http://facebook.com/ezdenjumanne
WhatsApp: http://wa.me/255759191076
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
.
HAMASA YA LEO👇🏽
http://youtube.com/hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
http://youtube.com/@jewajua5506
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
http://instagram.com/voiceovertanzania
.
KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
- Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
- Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
- Kutengenezewa tangazo zuri
Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
CALLS: (+255) 759 191 076
WHATSAPP: http://wa.me/255759191076
EMAIL: [email protected]
.
.
#kujiamini #jua #thamani
-
2:55
From Zero → Viral with AI
1 day ago $0.18 earnedAI Misconceptions: Why Small Businesses Hold the Real Advantage 🚀
3.08K -
LIVE
BEK TV
23 hours agoTrent Loos in the Morning - 9/25/2025
235 watching -
2:39
The Official Steve Harvey
1 day ago $0.28 earnedThese books didn’t just change my mind, they changed my life. 📚💯
4.23K -
1:35:35
Investigate Everything w/ Brian O'Shea
14 hours agoPart 1: "Evil & Logistics: Why is the Left So Good At Both” w/ Brian O’Shea & Bill Stebbins
8.1K1 -
1:20:31
CharLee Simons presents DO NOT TALK
1 day agoR.I.P. MEDIA FREAKS
5.38K1 -
16:39
Professor Nez
19 hours ago🚨PRICELESS: Trump Just EMBARRASSED Macron in New York
83.4K21 -
25:51
DeVory Darkins
18 hours ago $6.91 earnedDemocrats ghosted and stunned by Trump as Routh attempts to off himself after guilty verdict
22.6K65 -
21:15
Actual Justice Warrior
16 hours agoJimmy Kimmel DECLARES Victory
38.7K44 -
49:42
Liz Wheeler
18 hours agoWHO is Behind ANTIFA? | Ep 176
41.8K23 -
8:30
MattMorseTV
18 hours ago $10.13 earnedThis just ENDED Newsom's CAREER.
172K67