Dr Hovind Sem1 - "Umri wa dunia" - SW Kiswahili

1 month ago
36

Daktari Hovind anatoa ushahidi wa kweli kuonyesha kuwa Dunia hii haijakuweko kwa mabilioni ya miaka. Kwa kweli, ushahidi huu unatuelekeza kwenye uumbaji wa siku sita. Kama vile tunaambiwa katika kitabu cha Mwanzo sura ya kwanza. Kwa nini tuko hapa? Tulitoka wapi? Kwa sababu hii, tutaenda wapi maisha haya ya kifika kikomo? Semina hii inazungumzia kuhusu umri wa dunia. - "The Age of the Earth" - Swahili - 116 min. 230MB

Loading comments...